GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Shukran sana kamanda Rama haaaaaahaaaaaaaa GENTAMYCINE am sure unamfaham hyo jamaa!Akhsante, amen na inshaallah Mkuu.
Shukran sana kamanda Rama haaaaaahaaaaaaaa GENTAMYCINE am sure unamfaham hyo jamaa!
Happy Birthday
Nimewasiliana na na Abdallah Mwaipaya pia kakuwish sana birthday njema
[emoji28]
Live long bro
Happy Birthday Mkuu Gentamycine, Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na Baraka Amen
Happy birthday mkuu.
Mungu akupe afya njema kila siku tuzidi kufaidi michango yako
Happy Birthday to you, God bless you and your family!!Nimefurahi mno kufikisha umri wangu huu leo hii na hakika nina furaha sana na kikubwa naomba tupendane na kwa pamoja tuliendeshe gurudumu hili la JF kwa manufaa zaidi ili tuweze kuijenga Tanzania yetu ili Watoto wetu na Wajukuu zetu waje kutukumbuka kwa mema na kuyafurahia matunda ya hii nchi nzuri na iliyobarikiwa mno na Mwenyezi Mungu.
Amen / Inshaallah.
Muulize ulimboka atakutajia cku ile wanamchomoa ple posta walikuwa watu wangapi? kuna mtaalam wa kuitwa Rama khatari hyo am sure unamfaham bc tu unanienjoy mkuu huwa nasoma nyuzi zko una ufaham na mambo ya usalama wa nchi hlo jina haliwezi kuwa ngeni maskioni mwako!Hapana simfahamu Kamanda. Je ni nani huyo tena?
Happy Birthday to you, God bless you and your family!!
Muulize ulimboka atakutajia cku ile wanamchomoa ple posta walikuwa watu wangapi? kuna mtaalam wa kuitwa Rama khatari hyo am sure unamfaham bc tu unanienjoy mkuu huwa nasoma nyuzi zko una ufaham na mambo ya usalama wa nchi hlo jina haliwezi kuwa ngeni maskioni mwako!
Haaaaaaahaaaaaa Iceman usimchonje mwenzio Mwaipaya hawezi kumwish hyu anamuona co siri za studio kazitoa nje!Happy Birthday
Nimewasiliana na na Abdallah Mwaipaya pia kakuwish sana birthday njema
[emoji28]
Live long bro