Waje tu waendelee kukamua mafuta ya AlzetiMapema sana kesho wako singida mjini hao....
Vipi mkuu mnyama fainali atatoka kweli bila bocco na okwi....Waje tu waendelee kukamua mafuta ya Alzeti
Mimi siku hizi nafuatailia matokeo tu, mambo ya safu ya ushambuliaji hata sijui kabisa.Vipi mkuu mnyama fainali atatoka kweli bila bocco na okwi....
Hakuna tatizo tata mwifa.....Mimi siku hizi nafuatailia matokeo tu, mambo ya safu ya ushambuliaji hata sijui kabisa.
Labda wewe ndio unaweza kuwa na jibu la kubahatisha hapo
Rudi apa bas, naona tim tim!Duuh.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Basi wanaweza kutoboa maana wadau wa mpira washaanza kufikiria jinsi gani atamkabili EvertonHakuna tatizo tata mwifa.....
[emoji2][emoji2] sio kwa mpira huu.... bila hao viumbe niliokutajia kutoka kwa gormarhia labda kwa mikwaju ya penalty .....Basi wanaweza kutoboa maana wadau wa mpira washaanza kufikiria jinsi gani atamkabili Everton
Fainali huwa ina maajabu yake, lolote laweza kutokea[emoji2][emoji2] sio kwa mpira huu.... bila hao viumbe niliokutajia kutoka kwa gormarhia labda kwa mikwaju ya penalty .....
Ngoja tuwe na subilia lolote laweza tokea....Fainali huwa ina maajabu yake, lolote laweza kutokea
nashukur mno ndugu yangu kwa msahamaha mfungo tunashukurUsijali Ukhuty, msamaha umekubaliwa hongera(au pole?) na mfungo
InshaallahAmiin. Mdogo wangu tuzidi kumuomba Allah iwe hivyo kila uchwao. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Happy birthday lovie
Naona uwanja ulikuwa wenu eehfanya upesi sasa
uko huru kuazia leo mekusubir hadi hamu imeisha mim