Chakula bora ni kila kitu ikiambatana na kujitunza zaidiKweli kabisa usemalo. Hivyo tuwashauri kwamba kuuepuka uzee kabla ya uzee wenyewe kufika inatakiwa kujitunza na kula vizuri. Bhaaas.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dada EAhsante sana Mkuu. Nshamwachia meno yake huyo mzee jogoo Mkuu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ninyi watu mpo..Heri ya siku ya mfanano wakuzaliwa sis!
hahah nakujua wew kwa ude tu ila leo ni hatari kabisa kampitie mwenzio mje wote
Na wewe upo mkuu?Ninyi watu mpo..
Asalaaam.
Heri ya siku yako ya kuzaliwa.Niambie kaka ake. Nimekumiss sana aisee.
Habari ya masiku tele?
Waaalequm salaaam, jamani tupo sie hujambo?Ninyi watu mpo..
Asalaaam.
Sijambo..Waaalequm salaaam, jamani tupo sie hujambo?
Haha nahisi tutakua tunapishana majukwaa tu lakini tupoSijambo..
Mlipotelea wapi?
Keki umekula mwenyewe bhanaAhsante sana Kaka.
Amiin [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Basi kheri...!Haha nahisi tutakua tunapishana majukwaa tu lakini tupo
Tuuupo labda tumezidi kufichwaBasi kheri...!
Siku mingi sijawaona.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaaa. Lol.
Nimecheka kwa sauti jamaani mdogo wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimefurahi tu sijui umenipiga pin sikuelewi ujueJihukum sasa unacheka nini
halafu wewe [emoji23] [emoji23]Namimi niitikie dua ya kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa japo kwa kuchelewa , Aamin
Siwez fanya kitu kama hiko.eti ntafte uone.nimefurahi tu sijui umenipiga pin sikuelewi ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mie simooo MwifwaHajar yaelekea kina Mwifa na Ukhuty wamepokea barua nyingi sana za posa yako, sasa sijui wameshafanya maamuzi ili tujiandae kula ubwabwa
hahaha mbona ubwabwa tulishakula muda mpk tumesahau cc MwifwaHebu nikuulize swali Ukhuty, kwa malezi mazuri mliyopewa na wazazi wenu hapo nyumbani wewe na Mwifwa si mnapokea barua za posa za Hajar kila siku hadi mnachoka? Sasa bado tu hajafanya maamuzi watu waje kula ubwabwa?