Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu,mama mkwe,na baba mkwe kwa kufanikisha wewe kuja duniani,naamini ulikuja kwa ajili yangu.Wewe ndo umekuwa siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi kukukosea lakini ninachojua hata wakati nakukosea bado ulikua mwanaume ninaekupenda,hakuna aliewahi kuzidi thamani yako,na nakuambia HATOTOKEA.
Vingine ni ubinadam tu lakin haina maana kuwa kuna m-bora zaidi yako,huenda katika ubinadamu huo huo mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa,endelea kuniombea na kunielekeza pale ninapokosea.
Heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa kipenzi changu
Nakupenda sana mume wangu