Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Duh, mwaka kesho inabidi nifanye mchakato ili nipate wa kuniandikia Happy Birthday humu ndani.
Pamoja mkuu..hongera kwa kunyanyua kwapahazard cfc happy birthday kwako mkuu.
Dah aiseeHahahahahahahah nimekuwa simba au chatu?
Hahaha mkuu kwani mwaka huu ishapita?
Hahaha sasa kibongobongo usipokua huko chama twawala utakua wap?[emoji23]Hahaha hahahahahaha umeanza uchokozi nani sasa kakutuma uitaje ccm hapa
Pamoja mkuu..hongera kwa kunyanyua kwapa
Huyo ni mrembo kabisa mkuu...We ni ke kumbe
Nlkua nakuogopa sana
Hpn nataka uzi [emoji52]Ooh jamani happy birthday to you baba swalehe
Unataka kusema ni jolie kabadili id? HahahahaYa kweli haya?? Mi sijaamini bado
Karibu mkuu...vigezo na masharti kuzingatiwaHongera mkuu. Inabidi tutete vizuri. Nataka niende mtwara
Tuandikiane mimi na weweDuh, mwaka kesho inabidi nifanye mchakato ili nipate wa kuniandikia Happy Birthday humu ndani.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji15][emoji15][emoji15]
Hahaha sasa nawe pia si kwa mtu mwenye bday the same day??Nawe pia