Happy Birthday Heaven Sent

Sasa unafikiri una kingine cha kufanya zaidi ya kucheza na watoto my kaka!! Jeuri yote kwishney.
Bado hatujapoke azawadi yako jamani, mkumbushe na FisadiKuu.
I miss u so much espy.. Mnataka niwaletee zawadi gani na birthday girl? Mbege au ndizi choma? Hahaha
 
I miss u so much espy.. Mnataka niwaletee zawadi gani na birthday girl? Mbege au ndizi choma? Hahaha
Kuku choma fisadi, yaani siku hizi unafichwa kweli kweli. Usitutenge hivyo, tena uko hapo machame mie jirani yako kabisa alafu unanitenga!!!
 
Kuku choma fisadi, yaani siku hizi unafichwa kweli kweli. Usitutenge hivyo, tena uko hapo machame mie jirani yako kabisa alafu unanitenga!!!
Hahahaha sijawatenga.. si unajua ukifika huku ratiba zilivyo..
 
Aunty nakuomba tu ukimuona huko vichochoroni uniite maana nina mpango wa kula nae sahani moja.
Usijali auntie yuko mikono salama!!!

Sasa yule anayeenitaga dume nae??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…