Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Kwanini?Unakosea sana unapomuita huyu jamaa COMRADE
Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Unaijua maana ya Hon au ushabiki dhidi ya mtu huyo ndio unakusumbua?Happy birthday hon. Humphrey polepole
Napita tu.Wadau
Leo ni siku maalumu sana kwetu sote. Ni siku aliyozaliwa Kada mahiri na mzalendo wa CCM Mhesh Humphrey Polepole.Tuungane wote bila kujali itikadi zetu kumtakia kila la kheri.
Happy Birthday Comrade Polepole
Karibuni.
Najaribu kuweka mambo sawa,mheshimiwa polepole siyo mzee,bado ni kijana na mwenye maono yakinifu katika kukijenga chama katika misingi ya umojaHappy bathday
mzee humphrey polepole
Hiyo hataki hata kuisikia masikioni mwakeMkumbusheni rasimu ya Warioba