Happy birthday Ice T (63) and BirdMan (52)

Happy birthday Ice T (63) and BirdMan (52)

Majesty S P

Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
62
Reaction score
87
Tarehe 15.02. Ilikuwa ni happy birthday ya Birdman katimiza miaka 52.

1613640163120.png

Tarehe 16.02 Ilikuwa happy birthday ya ICE T katimiza miaka 63.

1613640034393.png

Emu wape neno hawa ma HipHopMogul uniambia ngoma gani unazikubali kutoka kwao.
 
5 stat stunna, I do it for miss gradys, mwamba kawatoa wengi kina drake badala ya kumwona wayne ndio kila kitu wangemuheshimu birdman sababu ye ndio kamweka wayne kwene road map..,
Unakosea. Birdman kamtoa Wayne na Wayne kawatoa kina Drake na Minaj. Kila mtu achukue sifa zake usitake mtu amsifie bibi mzaa mama yake kwa kumzaa wakati aliyemzaa ni mama.
 
Unakosea. Birdman kamtoa Wayne na Wayne kawatoa kina Drake na Minaj. Kila mtu achukue sifa zake usitake mtu amsifie bibi mzaa mama yake kwa kumzaa wakati aliyemzaa ni mama.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Neck of the woods
Well let me take to to the neck of the woods, In my hood uptown
Show you what we livin' like
(Walkin' like a man
Finger on the tigger got money in my pocket
I'm a uptown nigga nigga
 
Back
Top Bottom