Majesty S P
Member
- Sep 24, 2020
- 62
- 87
Big Pimpin GirlIce yule mke wake Coco surgery zimemkubali,lipo vizuri hilo.
Kiukweli sijawahi kuvutiwa na mwanamke anayefanya surgery. Looks too fake bro...Ice yule mke wake Coco surgery zimemkubali,lipo vizuri hilo.
Fire Flame na Born Stunna ni moja ya ngoma ambazo nilizikubali sana.Daah birdman
Daah birdman
Maisha yanasonga kwa kasiTarehe 15.02. Ilikuwa ni happy birthday ya Birdman katimiza miaka 52.
View attachment 1705384
Tarehe 16.02 Ilikuwa happy birthday ya ICE T katimiza miaka 63.
View attachment 1705380
Emu wape neno hawa ma HipHopMogul uniambia ngoma gani unazikubali kutoka kwao.
Kila muda ana hand rub his hand kana kwamba lotion haijamkauka.Daah birdman
Unakosea. Birdman kamtoa Wayne na Wayne kawatoa kina Drake na Minaj. Kila mtu achukue sifa zake usitake mtu amsifie bibi mzaa mama yake kwa kumzaa wakati aliyemzaa ni mama.5 stat stunna, I do it for miss gradys, mwamba kawatoa wengi kina drake badala ya kumwona wayne ndio kila kitu wangemuheshimu birdman sababu ye ndio kamweka wayne kwene road map..,
Unakosea. Birdman kamtoa Wayne na Wayne kawatoa kina Drake na Minaj. Kila mtu achukue sifa zake usitake mtu amsifie bibi mzaa mama yake kwa kumzaa wakati aliyemzaa ni mama.