Happy birthday ICHANA

Najua siku hizi hunipendi.Mume wangu mnashare jengo moja hapo ofisini kwenu ungetaka ungeniambia.
Na wewe Valentina si mume nilishakuachia sasa unanionea wivu wa nini hadi usinialike?😎

Nina matatizo ya macho mwenzio sionagi wivu...wewe ndio uwache kunionea wivu na msukuma wangu lols
 
Last edited by a moderator:
Nyie mademu mnamsema nini babu yenu???

Kwa kikosi ulichonacho hivi nipo kweli kwenye first eleven yako? Au ndo naingia kama sub? Au hata sub sipo nipo bench? Au ndo kabisa niko kikos cha makid?....... Lol.....unatisha?
 
Kwa kikosi ulichonacho hivi nipo kweli kwenye first eleven yako? Au ndo naingia kama sub? Au hata sub sipo nipo bench? Au ndo kabisa niko kikos cha makid?....... Lol.....unatisha?

Kama hujakwolifau katika benchi lake mie naomba uingie kwenye first eleven yangu...nna uhaba wa striker..lol
 
Kama hujakwolifau katika benchi lake mie naomba uingie kwenye first eleven yangu...nna uhaba wa striker..lol

Hahahahahahaha!!!!........kwako Eli79 hapana aiseee! utanipa presha za vikombe kila siku bora nicheze na wazee vijana niwe kama legend.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…