Bora umekuja my father hapa nahisi kuelewa sasa jana nilikua na hasra na wewe.....kwanza my mom Khantwe umemficha wapi dady mbona simwoni??
Umeona mama yangu. Bora nimuache tuwala usikubali kumlewesha tusije tukakupoteza....
charty na hangover hapa hivi jana uliniacha wapi mae?Huyu ukimkabidhi kipakulio utajutraaa... Halafu miss chagga kabania hela zingine. Hebu mfatie mana yule simwamini ati
Kwa kikosi ulichonacho hivi nipo kweli kwenye first eleven yako? Au ndo naingia kama sub? Au hata sub sipo nipo bench? Au ndo kabisa niko kikos cha makid?....... Lol.....unatisha?
Usiogope ukubwa wa samaki. Ulizia bei
Eti umesemaje???
Ewaaaaaa...hapo umenena!! Umeona thamani ya kukubaliwa, sio kwenda kukaa bench huko. Njoo huku, nakukubali kama mtupiaji wangu!!
Hapana Mangi wangu sijaongea lolote hapo kuna mtu kahack account yangu.....
Si nilikwambia uniunganishe kwa kaka yako namie
Halafu nyie....
valle best acha tu leo ndo napata fahamu nipo visiwa vya sheli sheli ....huyu miss chagga na charty sio kabisa waliniambia nimetafutiwa hoteli mwanzio najikuta huku cjui hta kama papu ipo salama mtoto mieHalafu nyie....