Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sijaona picha nimeona mdoli umevalishwa surualiUmewawekea na picha kabisa [emoji28] sasa ole wao wasitoe zawadi....
Tushadownload na picha..leo itakuwa ni 3X
Si kama wewe tu ulivyojaaliwa?Dada umejaaliwa hongera....uishi miaka mingi
😁😁😁 wajumbe wa chama siku hizi tumepandisha standards
Usinichekeshe mdogo wanguSi kama wewe tu ulivyojaaliwa?
[emoji23][emoji23][emoji23]...nyie ndo wale kanga inazunguka two rounds kiunoni sio??..PoleniUsinichekeshe mdogo wangu
Mbona wewe pia umejaliwa kwa namna ambayo alitaka uwe..Dada umejaaliwa hongera....uishi miaka mingi
[emoji16][emoji16][emoji16] unaweza kuwa na nyama ila hazijakaa mahali pake kama hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]...nyie ndo wale kanga inazunguka two rounds kiunoni sio??..Poleni
Mchana mwema
AmenMbona wewe pia umejaliwa kwa namna ambayo alitaka uwe..
Hapa ndo napiga cha pili