matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwana hiphop tajiri duniani. Mc mwenye package iliyokamilika ya hiphop.
Huyu ni mmoja kati ya wasanii wa hiphop waliofanya niipende sana hiphop na muziki wa rap kwa ujumla. Nakubali michano yake, style zake, mashahiri, lifestyle yake, hustle zake na swaga zake zisizo zeeka.
Nyimbo nazopenda kutoka kwa huyu mchizi ni hizi
Anything
Hardknocklife
Dead prez
99 Problems
Empire State of Mind
Encore
Young forever
Girls girls girls
Glory
Take over (kawadiss sana nas na prodigy)
Wishing on the star
Kifupi album zote na nyimbo karibu nyingi nazikubali za huyu jamaa.
Who you know fresher than Hov... Riddle me that?
🎶I'm not a businessman I'm a business, MAN!
Happy birthday King Jigga