namsubiriSubiri mwenyewe aamke akujibu kwa vijineno vitamu utaelewa
Kweli inabidi aweke hata kapicha basi!kusheherekea nasi itabidi apige atupie picha yake hapa
Asante sana sana Bitoz namna hii ntakosaje sasa kukupenda kwa mfano? Iam super Humbled my dear friendHello everyone !
Leo April 08 ni siku muhimu kwa rafiki yangu kipenzi hapa Jf aitwaye Jimena ,
Naomba tujumuike pamoja kumtakia heri ya kuzaliwa dada yetu huyu......
Napendelea sana ule msemo wake wa "nitakosaje kwa mfano"
HBD our loved sister Jimena , mingming !!!
Mishumaa umenipunja hapo kwenye keki prezidaa usifanye mods wakaniondosha kwenye lile jukwaa bure [emoji120] [emoji120]
Mkuu picha yangu ni hiyo ya kwenye avatarkusheherekea nasi itabidi apige atupie picha yake hapa
Hehehehe kila mshumaa mmoja unawakilisha miaka 10 sasa niamkie basi,mbona mishumaa mitano, ina maana anatimiza miaka mitano au??? btw heri kwako mpendwa Jimena nakutakia heri na fanaka maishani mwako
aah! wapi, ibra87 asingekuwa anakuzengea..Hehehehe kila mshumaa mmoja unawakilisha miaka 10 sasa niamkie basi,
Asante sana peterchoka