Happy Birthday Jimena !

Sikupata taarifa.

Kumbe ibra87 hatuko nae!

Napokea hizi Habari za kuhuzunisha kwa masikitiko Makubwa sana
 
Kweli haya Maisha ya hapa Ulimwenguni ni mafupi sana
 
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi huko alipo
 
RIP
Ibra taarifa ninazo nilijua tukio lingine boss. Pole sana
Nashukuru Kiongozi, nishapoa.

Pamoja Kiongozi.

Mimi sikuwa nafahamu, na wala sikuwa na taarifa za Msiba wake.

Ndio kwanza nimeona muda si mrefu nilipokuwa natembelea Michango ya Wadau, kwenye Avatar yake, sehemu ya utambulisho wake imewekwa R.I.P
 
Happy Birthday Jimena !


Kawa mara nyingine tena, Pumzika Kamanda.

Mbele yako, Nyuma yetu.

Sisi tulikupenda, Mungu anakupenda zaidi.

Upumzike kwa AMANI kwenye Nyumba yako Milele.

Daima tutakukumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…