Happy Birthday Jimena !

Happy birthday shostie,lovely Jimena
Nakumbuka tokea mara ya kwanza kujuana humu,ulisema unanipenda....
Guess what dear, Nifah loves you more

Nakutakia kila la kheri katika siku yako hii ya kuzaliwa.
Mungu akujaalie maisha marefu yenye furaha na mafanikio.
Mshukuru Mungu kwa kila jambo,hata kile kidogo alichokujaalia.

Kumbuka,ni wengi hawajaweza kufikisha umri uliokuwa nao (haijalishi hata kama uko ktk early twenties)

All the best
 
Asante sana sana kipenzi, maneno yako mazuri yamenipa raha sanaaa,
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…