Nataka nitangaze Ndoa ya Makapuku,We sasa unataka kuharibu. PM usije hapa hapa ndo pazuri kwa sisi makapuku
Juice ya miwaMadafu, togwa n.k......tukutane Mabibo beach
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Forever
Cheers [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485]Makapuku katika ubora wetu. [emoji484] tupate kinywaji
Sanaaaaaaaaa[emoji111] [emoji111] [emoji111]Kila birthday ya kapuku support tu mwanzo mwisho.......
#TeamMakapuku foreverBila shaka hiyo. Tunatoa support kwa kapuku mwenzetu
#TeamKapuku
Tatizo umechelewa......Nataka nitangaze Ndoa ya Makapuku,
hahahaaa......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]#TeamMakapuku for real