Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Nimekumiss ujuehappy birthday kwenu mapacha wa jf muishi miaka mingiiiiii
me pia dada akee huku mvua tu unaendeleaje lakiniNimekumiss ujue
Naendelea vizuri mamyme pia dada akee huku mvua tu unaendeleaje lakini
Aisee dunia ya leo bado kuna watu wanasherehekea birthday
Hongera sana pacha wetuHappy birthday kwenu.., me pia nimezaliwa tar kama ya leo 12/05
Heri ya siku yenu ya kuzaliwa Mungu awape maisha marefu ya furaha ,Mungu awabariki[emoji120]Leo tarehe 12/05 ni siku ambayo sisi member wenzenu wa jf tulizaliwa.
Tunamshukuru mungu kwa kunifikisha hapa pia tunajiombea maisha marefu yenye baraka tele.
Thanks ukhuty
Asante sanaHeri ya siku yenu ya kuzaliwa Mungu awape maisha marefu ya furaha ,Mungu awabariki[emoji120]
Asante sanaHongera sana pacha wetu