Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
kama unamaanisha vileNajua unafuraha sana kufika katika siku hii ya Leo. Furaha yako ndio uzima wangu. Kuzaliwa kwako kumeifanya dunia istarehe Kwa kuwepo mrembo kama wewe. Natambua nafasi yako katika Mtima wangu.
Basi itoshe kusema nimefurahi kushirikishwa nawe katika uhai wangu. Nawe furahi katika njia yako pamoja nami.
Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamke wangu wa karne.
Uishi miaka impendezayo Mola wetu mlezi.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Cc: Jovitha
soma tu post yako then think[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwa nini?
Nilifikiri kabla ya kuandika mkuu.soma tu post yako then think
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimependa jibu lakoNilifikiri kabla ya kuandika mkuu.
So siwezi soma tena
Kawaida mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimependa jibu lako
Thank u my love[emoji85]Najua unafuraha sana kufika katika siku hii ya Leo. Furaha yako ndio uzima wangu. Kuzaliwa kwako kumeifanya dunia istarehe Kwa kuwepo mrembo kama wewe. Natambua nafasi yako katika Mtima wangu.
Basi itoshe kusema nimefurahi kushirikishwa nawe katika uhai wangu. Nawe furahi katika njia yako pamoja nami.
Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamke wangu wa karne.
Uishi miaka impendezayo Mola wetu mlezi.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Cc: Jovitha
Thank youHappy birthday jovitha
Thank uhappy birthday Jovitha
Ahsanteee Wifi yanguHappy Birthday wifi
Ndio wifi. Si unanijuaga tena mimi wifi yako.Ahsanteee Wifi yangu
Badae zawadi yanguuu[emoji125] [emoji85]
Hayaa wifi yanguuu ulete zawadi kubwa kubwaaa[emoji85] [emoji125]Ndio wifi. Si unanijuaga tena mimi wifi yako.
Usijali. Ukiona nachelewa kukuletea. Njoo nyumbani uje uchukue tu [emoji7]Hayaa wifi yanguuu ulete zawadi kubwa kubwaaa[emoji85] [emoji125]