Happy birthday kimey!

MTM kwa kuweka msisitizo ndiye Mtatiro wa meza kwa leo

Hommie Kimey, chukua happy birthday yako kwa raha zako, hongera sana... BTW, una miaka ngapi sasa? tunataka kuchuja nafaka ("under-ages")
 
........happy birthday kimey, Mungu akupe uzima uishi miaka mingi uone wajukuu wa vitukuu yako.
Thanx Pretty, maisha yenyewa ya Dowans haya cjui ka tutaona vitukuu!
 
Happy birthday kiongozi,
Hongera kwa kuzidi kusogeza siku za kuishi!
ubarikiwe sana!!!!
 
Homu boy mi hapa siongezi kitu ujumbe umefika!
 
MTM kwa kuweka msisitizo ndiye Mtatiro wa meza kwa leo

Hommie Kimey, chukua happy birthday yako kwa raha zako, hongera sana... BTW, una miaka ngapi sasa? tunataka kuchuja nafaka ("under-ages")
Hahaha Thanx hommie kuchuja nafaka muhimu kabsaa!
 
Happy birthday kiongozi,
Hongera kwa kuzidi kusogeza siku za kuishi!
ubarikiwe sana!!!!
Pamoja sana komredi tunasogeza cku za kuishi! Maisha yenyewe ya Dowans cjui ka tutaona vitukuu vyetu!
 
>>>>Happy Birthday my protector......
Me love u lots..........:clap2:
 
HAPPY BIRTHDAY KIMEY
may GOD bless your way.
 
Birthday ni nzuri ila watu tunasahau kuwa unaposherehekea b,day inamaana unasherekea siku za kufa kukaribia hahaha

By the way Happy birthday
 
Hongera Kimey...
Hivi umetimiza pipa ngapi za bia? Na debe za valuu?
 
May u get wealthier, Happier and Wiser as u step onto a new age of ur life

hapi besidei tu yu KI! MEY
 
hongera sana mpwa!
hapa nilipo nina hengova ya mchanganyiko wa ballantine,grants,viceroy na MBEGE!hata nimesahau unatimiza maka mingapi

LAKINI POA TU!
HONGERA SANA AU VIPI!...
 
Mkuu Mungu akujalie maisha marefu yenye amani na mafanikio tele,hongera sana kwa zaliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…