Happy birthday king Alikiba

Happy birthday king Alikiba

Happy birthday Ali Saleh Kiba.
Mungu akupe maisha marefu tuzidi kukifaidi kipaji chako alichokujaalia. nifah loves you.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona watu wanatumia pesa zao kwa ajili yake ili mitandaoni na marediona na kwenye tv habari zake za kutimiza miaka 50 zisitangazwe.
 
Kweli Haters mnachekesha,
Leo Alikiba ana miaka 50!!! Hahahaha
Okay tuseme ana miaka 50, so what??
Asifurahie siku yake ya kuzaliwa???
Asifanye mziki???
Haterz buanaaaa,
Happy birthday #King#Kiba#
 
Back
Top Bottom