Happy Birthday Kingsmann

Hahhah nilisema naona leo umependeza sana umeamua kutuvalia kitenge naona mwenye id yake alibaki anashangaa tu uko yaani nilijua wewe nikasema joanah na vitenge wapi na wapi

Hizi ID unaweza kutiririka siri zako weee kumbe unamuhadithia mwingine 😂😂
 
Hahahha acha tu na mwenyewe wala hajanijibu sasa nakuja uku nakutana na wewe nikasema joanah naona wapo wawili jf inabidi tuwe makini sasa

Kuwa makini sasa usije kutoa siri zetu kwa ID nyingine 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…