Happy birthday Kiwatengu

My darling husband Asprin, the one and only:A S-heart-2::A S-heart-2: njoo kwanza tutete kidogo.

Happy Birthday kiwatengu

Hivi mke wa ujana wangu? Huko kwa wazazi ulikoenda kuwasalimu? Mbona hurudi?

Afu simu yako mbona haipatikani?

Mekumiss sana ujue....
 
Hivi mke wa ujana wangu? Huko kwa wazazi ulikoenda kuwasalimu? Mbona hurudi?

Afu simu yako mbona haipatikani?

Mekumiss sana ujue....

Kipenzi usikute unatumia ile zantel wameshaifunga,nilikua vichakani nikawa siitumii.

Njoo chemba tafadhaliii
 
Kipenzi usikute unatumia ile zantel wameshaifunga,nilikua vichakani nikawa siitumii.

Njoo chemba tafadhaliii
Tangu unambie nije chemba mpaka sasa..... nimechoma mahindi mpaka nimekoma.

Kwanini unayaruhusu lakini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…