asante bestito nashukuru Mungu kuiona siku hii ila naona mmegongana na Young Master kulee ila usijali nashukuru sana kwa wishes zenu be blessedOn this special day, i wish you all the very best, all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today, tomorrow and the days to come! May you have a fantastic birthday and many more to come...
HAPPY BIRTHDAY toto zuri,nakuja kukumwagia maji baridi
Naona tulikua tunakuwazia na Young Master mpaka tukagongana lolsasante bestito nashukuru Mungu kuiona siku hii ila naona mmegongana na Young Master kulee ila usijali nashukuru sana kwa wishes zenu be blessed
BestitoHappy birthday shostito ladyfurahia
Ahhaha thanks, nisharekebishaBestito
Hahaha ndo ishakuwa "identity" yake sasaAnavolipenda hilo neno kama kalogezewa... Mweeh
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiii bestito ndo mtoko wangu hapa wa siku nyingi kama lara 1 na igizo lake igweeeeeeee ila yeye ameacha hahahaaaaaaAnavolipenda hilo neno kama kalogezewa... Mweeh
hahahaaaaaaaaaaaaaaa jamani nyie mna vituko wapi mama Passion Lady, charminglady na Lady doctor waone igizo jipya langu hahahaaaaaaaaaaaaHahaha ndo ishakuwa "identity" yake sasa
ila nimemmiss Mentor jamani ngoja nimwite hapa hahahaaaAnavolipenda hilo neno kama kalogezewa... Mweeh
Hahaah bestitohahahaaaaaaaaaaaaaaa jamani nyie mna vituko wapi mama Passion Lady, charminglady na Lady doctor waone igizo jipya langu hahahaaaaaaaaaaaa
Bestito Valle umemuona wapi baba ngina a.k.a Mtambuzi mzee wa matogether partyBestito
Kuhusu Mtambuzi hebu tumuulize huyu Nyani Ngabu mara ya mwisho walikua wote wanakodoa macho kwa wale wachuchuBestito Valle umemuona wapi baba ngina a.k.a Mtambuzi mzee wa matogether party