[emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa sahihi kabisa kuanzisha Uzi Wa Wanywa pombe.....
Thanks [emoji120]R.I.P
[emoji123][emoji123][emoji123]Ishi kwingi legendary
[emoji120][emoji120][emoji120]Heri ya siku ya kuzaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]macho ya mshana kama kala maji ya uzima muda wote
Are u serious. I share the same birthday with the legend.. I too Was born on 31 May.
Team Gemini oyee
Ngoja nimjulishe na Sitti Mtemvu birthday twin wangu wa tangu primary cause anakubali sana thread za Mshana Jr
She wil be so much pleased to learn that she share the same birthday with the legend
Inawezekana anapiga ramli ya mifuko ya plastic huko mbali hana abari na bday.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana Jr tukutane wapi tulambe ulaji
HapanaKwani humu wachawi wapo
Sijuiteh. ...
Hivi ww ni mchawi kweli ?!
kuna siku ulisema una was was na umri wanguSijui
Mtazamo....!kuna siku ulisema una was was na umri wangu
Kwa nn uliongea statement nzito kama hiyo
Mtazamo upi mkuu wangu ninayekuhishimu sana hapa jamviniMtazamo....!
Pia umri wangu ni mdogo nadhan kulko memba yeyte humuMtazamo....!
Mbona wana kutag sana mzeee shanaHapana
Usijali nakuheshimu piaMtazamo upi mkuu wangu ninayekuhishimu sana hapa jamvini
Samahan sana kama kuna sehemu nilikukwaza kutoka na matani yangu au masihara ndo nlvyo mkuu
Bado hu mdogoPia umri wangu ni mdogo nadhan kulko memba yeyte humu
Mm ni wa 99
Mmh itakuwa ngumu kuwajibia kwakuwa mimi sio waoMbona wana kutag sana mzeee shana