Huyu ndiye the King hana makuu na mtu kama ni rafu uwanjani wanamfanyia lkn hapendi kulalamika na kuanzisha fujo ,asiejiona,sio mbinafsi,hajui kuringa,hapendi kujisifu na kujiweka bora zaidi ya wachezaji wengine hali yakuwa yeye ni bora zaidi kuwahi kutokea,
King Mfalme wa Soka duniani.
Ooooh Lionel Messi mzaliwa wa
Huko Rosario Argentina.
Unaowasumbua makipa duniani
Mchezaj kama Messi huwa
anazaliwa kila baada ya miaka
1000
HAPPY BIRTHDAY KING LEO MESSI
hakika tumepata cha kuhadithia
kwa vizaz vijavyo