Naangalia mpira kiwanjani sija wahi kwemda morocco nika muonaNo! Yule anaeendaga morroco
hahahaaKing Mfalme wa Soka duniani.
Ooooh Lionel Messi mzaliwa wa
Huko Rosario Argentina.
Unaowasumbua makipa duniani
Mchezaj kama Messi huwa
anazaliwa kila baada ya miaka
1000
HAPPY BIRTHDAY KING LEO MESSI
hakika tumepata cha kuhadithia
kwa vizaz vijavyo
Hii thread ni ya 2016Ni miaka 30 sio 29 mkuu.