OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Katika siku yako hii ya kuzaliwa, watanzania wote tunakutakia maisha marefu na mema katika harakati za kuikomboa nchi hii, umezaliwa siku moja na Mama Therresa (Founder of Missionaries Charity), hivyo hivyo kama alivyokuwa yeye nawe pia endeleza moyo wako wa huruma wa kutumikia watu masikini na kwa hakika ulete ukombozi wa mara ya pili katika nchi hii.
Kwa hakika watanzania hawana hata chembe ya shaka dhidi ya maamuzi yako na utendaji wako katika jambo lolote lile, ni wewe katika nyakati hizi ukisema unaamisha mlima wowote ule unaweza bila shaka, ni wewe katika nyakati hizi ukisema mbuga ya serengeti ihamie dar es salaam unaweza kutenda bila woga wowote.
Happy birthday Lowassa
Happy birthday pia kamanda Hussein Bashe katika siku yako hii ya leo ya kuzaliwa.