Ashiiiiiiuu[emoji23]happy birthday rafiki yangu
Mungu akupe miaka mingi ya furaha na upendo wenu uzidi kudumu milele
Stay blessed always
ndo nini?Ashiiiiiiuu[emoji23]
Nilikumisimo tu [emoji8]ndo nini?
waoooNilikumisimo tu [emoji8]
Cc? ..to..? . Mmhhh umekua kimya km unaatamia mayai [emoji23]waooo
nafurahi kusikia
CC.. to....
hahahaha namjua mie nishampia aje aoneCc? ..to..? . Mmhhh umekua kimya km unaatamia mayai [emoji23]
Hivi ndoa lini? Naona mnavunja miaka tu
Cc mahondaw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila weee nitakuweka kwa sahan alafu nikule bila hata kijiko na uma...alafu nkule harakaharaka ,nimalize nikusukize kwa juice [emoji8]hahahaha namjua mie nishampia aje aone
hahahahhahaha yangu majicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila weee nitakuweka kwa sahan alafu nikule bila hata kijiko na uma...alafu nkule harakaharaka ,nimalize nikusukize kwa juice [emoji8]
Eeehhh tena macho kodooooooohahahahhahaha yangu majicho
hahahhahahaEeehhh tena macho kodooooooo
Mie huyoooooo ndukiii...mi simo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nisije shikiwa bastola bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji617]hahahhahaha
umeonaeee, usijaribu kuthubutuNisije shikiwa bastola bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji617]
Weeee uoga wakunguru unampa.maisha marefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .naelewa sana tuuumeonaeee, usijaribu kuthubutu
unajua uoga mara nyingine ni silaha tosha. so usichukulie poa maamuzi ya nafsi yako
teh
Thanks dearHappy birthday