Amina amina.. Sante sana shun.Happy birthday mbebez wa smart Mungu azidi kuwalinda
Amina amina.. Sante sana shun.Happy birthday mbebez wa smart Mungu azidi kuwalinda
Nashukuru sana shem ubarikiweHappy birthday mchumba wa Smart911
Happy Birthday Pumpkin pie wa Smart911
Happy Birthday Sweetheart wakr Smart911
Hahahahaha... Inshaallah [emoji120] [emoji120]Happy birthday mpenzi Wake smart
Tehteh lol kipozeo..... Asante sana jamaniHappy birthday kipozeo cha smart
Long live the queen
Hahahahaha tumetoka mbali sana mkuu hii si wish ya kwanza mbona.. SanteHappy besdeyi...ila umejuwaje besdey yake under his/her fake ID?
Happy birthday Kiazi mbatata wa Smart911
Lol wanijazaje misija best tehteh.... [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] eti kiazi tehHappy Birthday Angel face wake smart911
Hahahahaha. Muhaya...Happy birthday muhaya wa Smart911
EehHahahahaha. Muhaya...
Milele Amina mkuu hakika mungu yu mwema upande wetu.Hongera kwa kufika siku ya kuzaliwa. Mpendane,muheshimiane na kujaliana. mapenz yenu yasiishie humu jf tu
Naweee barikiwa..nmeona niwape nyingiiii, ili kufidia walosoma uzi, lkn wakazuga hwajauona.Nashukuru sana shem ubarikiwe
Inafurahisha bana hata basdei unakandia mkuu duuhhh!!Inasikitisha sana....
Cc mahonda
Hata ukitaka zifike mia zakwangu ,nitafanya tu.Hahahahaha... Inshaallah [emoji120] [emoji120]
Hahahahaha unayastahiliLol wanijazaje misija best tehteh.... [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] eti kiazi teh
Asante sana shoo nashukuru mungu kwakweli [emoji120] [emoji120]Happy birthaday mahondaw..Baraka za Mungu ziwe juu yako na awasimamie katika mahusiano yenu.