Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hahaa sure mkuu Jf Haina limitDaaahh km niivo inabidi tujaribu nje ya JF tuone km nikigeuka nitakuona?
Sawa sawa ,namm niseme jambo hili..tuendelee kukutana mara nyingi zaidi ya uwezoHahaa sure mkuu Jf Haina limit
hshaha..." haya bhana"" siku yako leo jishauwe...ringa utakavyo""......
Mama Sabrina "... Numbisa .. Raynavero ..... shoga yenu amezaliwa upya leo "....
Nashukuru sana shem.. [emoji120]Happy Birthday Mahondaw wa Smart.
Live long and be successful
Thenkyuuuu [emoji106] [emoji106] [emoji120]Happy birthday katoto
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Happy birthday Mahoo.... Mungu akutunze mamy akupe maisha marefu uone na wajukuuu
Endelea kuamin kuhus fake I.d watu humu tunajuana kuliko unavyofikir sema ndo hivyoHappy besdeyi...ila umejuwaje besdey yake under his/her fake ID?
Ooookeeeyyy....Hahahahaha tumetoka mbali sana mkuu hii si wish ya kwanza mbona.. Sante
Miaka 1000 mkuu !!! Hahah your not serious .. Yesu mwenyewe aliishi 33 . sembuse smartHappy birthday lazizi wake Smart911, ubarikiwe sana na uongezewe miaka 1000 wenye afya tele { [emoji132] Mr & Mrs Smart911}
Kwa Mungu siku 1000 ni sawa 1, hivyo anaweza kuamua chochote, hukumbuki kuna sehemu YESU alimwambia mtu 1 nikitaka huyu akae mpaka nirudipo wewe yakuhusu nini!Miaka 1000 mkuu !!! Hahah your not serious .. Yesu mwenyewe aliishi 33 . sembuse smart
[emoji23][emoji23] aiseeeHbd kikojoleo wa smart. Uishi miaka mingi ili mzidi kukojoleana