Happy Birthday Mahondaw wangu

Status
Not open for further replies.
Kwa Mungu siku 1000 ni sawa 1, hivyo anaweza kuamua chochote, hukumbuki kuna sehemu YESU alimwambia mtu 1 nikitaka huyu akae mpaka nirudipo wewe yakuhusu nini!
Praiseeee the Lord.... Hallelujah... Sante sana [emoji120] [emoji120] [emoji106]
 
So happy for you bigsis!! [emoji106] [emoji106] [emoji182] [emoji8]

Thank you so much [emoji120] [emoji120]
 
mahondaw napenda nikutakie heri na fanaka katika siku yako maalumu ya kuzaliwa, na zaidi zaidi Mungu akujaalie baraka tele zaidi na akutimizie yaliyo mema katika maisha yako, tena akupe kila lililo hitaji la moyo wako.
Amina rafiki hakika mungu yu mwema .. Nashukuru sana [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…