Happy Birthday Mahondaw

Status
Not open for further replies.
Teh nakuja naye, tupo njiani
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ya mdimbuo yanakuhusu, yakuwasheeee hadi uchanganyikiwe.
Usinikumbushe enzi za taabu ya maji jamani daaah!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ya mdimbuo yanakuhusu, yakuwasheeee hadi uchanganyikiwe.
Usinikumbushe enzi za taabu ya maji jamani daaah!!
Hahahaah
Mi kwa kudimbua tu nilikua sijambo asee marehemu Hamisi akukute unazunguka na kindoo chako magorofani huko sijui utaisoma namba hio michambo assembo pale dom A lol those days sitaki hata kukumbuka
 
Mluguru alikuwa anamichambo yule!!!
Basi kuna binti mmoja kapindaaa siku moja alimtolea uvivu alimchambaaaaaa!!!
 
Muache ajitoe ufahamu, nitamdai pesa ohoooo!!
Jamani jamani jamani Heaven Sent umenishtaki kwa mate jamani vibaya hivooo

espy Mate najua pa kumpata huyuu
Outing day nikienda sabasaba kwa dada nitakaanga vitunguu + dagaa nitanunua peanut butter na mango piko nikija nampapo atie kwenye maharage na makande yenye harufu ya mafuta ya taa tumemalizana huyu

Au mother dom nampangia kudeki chooni kila mwezi au kudeki dom msimu wa mvua haha
 
Mluguru alikuwa anamichambo yule!!!
Basi kuna binti mmoja kapindaaa siku moja alimtolea uvivu alimchambaaaaaa!!!
Hahaha huyo binti hajapelekwaga malezi kweli make Hamisi na jopo lake la malezi walikua sioo ukimkuta na Matron alikua anafinyaje kwenye mapaja khaah!
 
Hahaha huyo binti hajapelekwaga malezi kweli make Hamisi na jopo lake la malezi walikua sioo ukimkuta na Matron alikua anafinyaje kwenye mapaja khaah!
Alipelekwa na shule alifukuzwa, kwanza kuna incidence ilitokea kabla ya hilo ndio likapelekea hadi wakachambana.
 
Alipelekwa na shule alifukuzwa, kwanza kuna incidence ilitokea kabla ya hilo ndio likapelekea hadi wakachambana.
Kuna siku nilitoroka jumapili sijasain bana asinikamate niko doks moja huko..
Hata hakusema kitu aisee sikuamini ile siku nahisi mizimu yakwao ilishuka nikawa zamu yake nikimuona tu yuleee kushoto mi napita kulia akikatiza huku mi kuleeeee.. Akiniona ananipiga jichoo lake lile siunalijuaa lilivo kavuuu mwenyewe najihukumu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…