Happy birthday Mama Salama Kikwete

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752


Leo ni siku ya kuzaliwa first lady Mama Salama Kikwete hongera sana mama wa kwanza kwa kutimiza miaka.....
 

Attachments

  • 8E9U2321.JPG
    36.6 KB · Views: 434
Na huyo mbabu ndiye nani? Kumbe mama bado bado....47!!!
 
Nguo nyeusi ka msibani!!!!
Na picha ya juu kulia ndo akina mama wadogo???????
 
Hata Maralia sugu alikuwepo kama mwanafamilia:whoo:
 
naona mkwere UZEE umebisha hodi kwa kasi ya ajabu
 
mbona ana familia kuwa sana..kuna katoto kengine kadogo hakafikii hata urefu wa meza..mwee kumbe raisi ana watoto wadogo bado walio chini ya miaka mitano...hahaa naona na mafulu beki kibao na huyu sijui ndo babu wa familia anahanikiza kwa makofi
 
Full kachumbari cjui xmass tree.. Na uzee waja fasta
 
Naona mkwere age inachapa mwendo kwa spidi ya ajabu, halafu hii bday clouds hawakuhusika eheee?????? lol!!!!!!!
 
Kikwete bwana.............!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…