Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Aisee ukweli tangia niingie Jamiiforum sijakumbana na tusi kama hili................. Ningependa tu nijue japo mkoa unaotokea LolBeautiful with brain. Vinuka mkojo vingi vinamuonea sana wivu. Happy birthday zari kubwa la maadui,jeshi la mtu mmoja.
DuhAkikujibu fanya kun tag.
Aisee ukweli tangia niingie Jamiiforum sijakumbana na tusi kama hili................. Ningependa tu nijue japo mkoa unaotokea Lol
Mjinga mwenyewe na ukoo wakoNdo akili yako ilipoishia hapo. Tangu lini zari akawa na tako kubwa kama hili pichan. Editing haijawah kuwaacha wajinga salama
Hahhaha dah labda ndio washaachana.We started at * Mybaby, my sweet my wife my baby mama *
Now we are here
*Major General*[emoji23][emoji23]
We've come a Long way[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..jamani
Huwa tunaendaga wote kuwangautakuwa mchawi
Kumbe nawe wa kule eee[emoji23] [emoji23]Vipi kuhusu ile porn video kule xvideo
Sasa Lissu na Sizonje wamekujaje hapa? Acha umalaya wa kilimbukeni.Huwa nawaona ona tu hawa watu mie namjua Lissu na Sizonje anaeipindisha nchi yetu.
Akishakaa kando ww unanufaika nn, au unaenda kuziba nafasi yake? wivu usifanye ukawa mchawiKweli kbs, huyu mama bora akae zake tu kando. Afanye yake.
Sasa umejuaje? Hayo yote kama uhusikiUwende Nani wakati umekutwa ukiwanga mchana kweupe unayawangia maisha.
Wanamnafikia tu hao,hujui wabongo tulivyo mkuu.Huyu ke anaabudiwa sana humu, sijui ni pesa inawachanganya watu!
Nakusubiria mkuu wa kikosi cha kuwanga maana umekazania sana UCHAWIHu
Huna jipya kawangee hukoo ππππ