Wala sina wivu kbs, umekuruka kujibu. Ungefuatilia tangu mwanzo tulivyoanza na niliekuwa nimem quote ndio ingejua nilichokuwa namaanisha.Akishakaa kando ww unanufaika nn, au unaenda kuziba nafasi yake? wivu usifanye ukawa mchawi
Hakika, huyu dada yupo vzr sana ila sijui kwnn watu wanajifanya kumtukana vile na wakati hawamfikii hata robo.sijawah kuwa na team mie !lakini deep inside huyu dada acha aitwe zari !sidhan km tunatumia ubongo kumfananisha na hamisa ! keep it up le boss!
Hakika, huyu dada yupo vzr sana ila sijui kwnn watu wanajifanya kumtukana vile na wakati hawamfikii hata robo.
Tena hilo lisichana ni li tahira kbs, uswahili mwingiiii halafu hiyo timu yake ndio wanaompoteza. Wanadhani wanamkomoa zari kumbe hajui km yy ndio anajiharibia. Aolewe basi tuone km watadumu na mondi.mie nilichokuja gundua ni vile hamisa ni mtz sijui !ah ht sijui ! mie naona makelele tu yaan ht sijui !watu wanaraka kuhalalisha uzinz ati zari hajafunga ndoa !khaaa hajafunga ndoa nahuku kisheria ni anajulikana ni mke kabisa !jaman tuseme kweli tu hamisa kachemka vby sana sana !
Baby ,mbn sijakufunza haya !!!.. Embu acha tulia basi. One to one haitowapa mwisho mwema !!.[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nakusubiria mkuu wa kikosi cha kuwanga maana umekazania sana UCHAWI
Shost hiyo sentensi hapo juu hapo ndo hasa mimi nilipo, halafu haya mambo bhana lazima kuwe na pande mbili za kumkubali mtu au kutomkubali, kila mtu yuko na mazuri na mabaya piamie nilichokuja gundua ni vile hamisa ni mtz sijui !ah ht sijui ! mie naona makelele tu yaan ht sijui !watu wanaraka kuhalalisha uzinz ati zari hajafunga ndoa !khaaa hajafunga ndoa nahuku kisheria ni anajulikana ni mke kabisa !jaman tuseme kweli tu hamisa kachemka vby sana sana !
Tena hilo lisichana ni li tahira kbs, uswahili mwingiiii halafu hiyo timu yake ndio wanaompoteza. Wanadhani wanamkomoa zari kumbe hajui km yy ndio anajiharibia. Aolewe basi tuone km watadumu na mondi.
Shost hiyo sentensi hapo juu hapo ndo hasa mimi nilipo, halafu haya mambo bhana lazima kuwe na pande mbili za kumkubali mtu au kutomkubali, kila mtu yuko na mazuri na mabaya pia
Unanijua nilivyo mkimya mi kuwa opposite na mtoa mada basi nimekuwa mwanga sasa nimemuonyesha kuwa Tictac naiweza na sitaki ban ndo maana namjibu km kumkwepa vile lkn matusi yao nayaweza tu vizuriBaby ,mbn sijakufunza haya !!!.. Embu acha tulia basi. One to one haitowapa mwisho mwema !!.[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Swadakta made in Tanzania, japo hajacheza fresh lkn ndo vile kashayamwaga tenakwahyo upo team hamisa kwasababu ni mtanzania sio eh ? bas sawa shost !
Heeeee Basi yakwishe [emoji119] [emoji119] [emoji119] .Unanijua nilivyo mkimya mi kuwa opposite na mtoa mada basi nimekuwa mwanga sasa nimemuonyesha kuwa Tictac naiweza na sitaki ban ndo maana namjibu km kumkwepa vile lkn matusi yao nayaweza tu vizuri
Unanijua nilivyo mkimya mi kuwa opposite na mtoa mada basi nimekuwa mwanga sasa nimemuonyesha kuwa Tictac naiweza na sitaki ban ndo maana namjibu km kumkwepa vile lkn matusi yao nayaweza tu vizuri
Unileteee baeHeeeee Basi yakwishe [emoji119] [emoji119] [emoji119] .
Assume kama , Hukuuona huu Uzi ,,, alafu , Ujue ule mzigo uliusahau juu ya kabati ???? Unakuja Lin kuufata ? Au nilete ?
Ngoja nifungashe naona nimewachefua kwny kauzi kenu hahahahahaaaa, ila utumiage bidhaa za nyumbani nawe sio kila siku kuagiza vya nje,hahahaha
Numbisa muache anatetea tumbo lake maana huwa ameajiriwa WCBSubiri povu lake mkuu,
KumbeNumbisa muache anatetea tumbo lake maana huwa ameajiriwa WCB
Ngoja nifungashe naona nimewachefua kwny kauzi kenu hahahahahaaaa, ila utumiage bidhaa za nyumbani nawe sio kila siku kuagiza vya nje,