Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Ujumbe wako uko pm miss you sana, comment yako pale umesema zari mtamu aisee ushawahi kumla!!!! Au ndo ladha ya ndizi ni muonekano wa ganda lake!![emoji12] [emoji12] [emoji12] humu nimeaga beb , utanikuta kule unaponikutaga
Hehehehe baby utamu wa mwanamke unaonekana tu hata ukimtizama...

Ila hata zari hakufikii wewe baby ..yaaan weee unanimaliza kabisaaaa sipumuiii[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
ahahaha kapeace umewah niona nacomment mie celebriety forums mamy !sijag huku sema nimeona neno hepi besdei to u nikaja kumuwish ! mie ndo natoka hvyo shogale !kuwa na aman kumbe mnatukananaga kbs teh teh !sawa mwaya vya ndsn tuvithamini
Humu sio kabisa km una roho nyepesi inatakiwa roho ngumu km sie
 
VIDEO
Diamond Platinumz: Uzuri na Urembo pengine ningetembea nikakuta baadhi wanao pia... Lakini Akili, Hekma, pamoja na Roho yako ya kwenye Shida na Raha kwangu ndio kitu pekee kinachonifanya nikupende na kukuthamini zaidi kadri siku zinavyozidi kwenda...... wanaposema kwenye kila Mafanikio ya Mwanaume kuna Mwanamke imara nyuma, hawamaanishi eti anaepika na kuosha vyombo sana ama kufua nguo kila siku... Hapana! ni mwanamke Mwenyekuwa bega kwa bega na Mpenzie kwenye Shida na Raha... Happy birthday General
 
MAMA TEE KATIKA UBORA WAKE
 
We started at * Mybaby, my sweet my wife my baby mama *
Now we are here
*Major General*[emoji23][emoji23]

We've come a Long way[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..jamani
hata mie nimeshangaa jomonii..unafki haujawahi kumwacha mtu salama....ila Domo ana roho ngumu mno na wanawake zake wana roho zaidi ya paka! niwiki haijaisha tokea amtambulishe Young Lion..leo tena hii haahahha
 
hata mie nimeshangaa jomonii..unafki haujawahi kumwacha mtu salama....ila Domo ana roho ngumu mno na wanawake zake wana roho zaidi ya paka! niwiki haijaisha tokea amtambulishe Young Lion..leo tena hii haahahha
Subiri upewe povu kwmb unamwonea wivu bosslady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…