Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Kuna watu wachache wanaishi kama malaika nataka waishi kama mashetani
 
No kuna mke south,malaya bongo
mmmh numbisa dia unatumia nguvu nyingi kumtukana hamisa ila diamond aliwaumbua.

kama hamisa Malaya si angetumia kondomu?? bora unyamaze tena kakili kwenye media??? tulia Dada ukute hata mda huu yupo kwa hamisa

huwezi kumuita MTU Malaya as if umamshikia paja umeanza kujishushia heshima

kama ni swala la umalaya basi zari ni funga kazi ogopa mwanamke una watoto tens wakubwa unamuacha Mme ndani , anaenda kulala na mdogo wake, imagine watoto wa kiume wakubwa vile??????ni malaya wa kiwango cha huu ajitafakali. na wewe tumia akili kuwaza.
 
Umenena vyema dadangu mwanamke unamuita mwanamke mwenzio malaya mmmh kila mbuzi anakula usawa wa kamba yake pale kwa diamond wamuacha amicha na Maisha yake
 
Jamaa anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…