mhDuuh kumbeee
Nimefurahi kumuona dada pasua kichwa![emoji16][emoji16][emoji16]Unacheka nini pasua kichwa?
Naanzaje kumuacha labda. Kuna watu wa kuachwa sio yule. Daby utoto unamsumbua akikua najua ataachaUmeshaachana na Sam?[emoji848]
Anyway namshukuru huyo anaekupasua kichwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee, hivi kuna siku ulishatuweka kwenye list ya watu wazuri?Nimewaingiza kwenye list ya wabaya wangu, haiwezekani mnivue nguo hadharani kwenye hadhara hii iliyokuja kusherehekea siku hii muhimu[emoji57][emoji57][emoji57]
Afadhali unisaidie kuuliza mwayaAisee, hivi kuna siku ulishatuweka kwenye list ya watu wazuri?
Hahaha ngoja tusubiri majibu yake yenye utata.Afadhali unisaidie kuuliza mwaya
siwezi msuta mtoto aliyezaliwa leo jamanAsante mama Beira....hehehe usinisute
duuuh umenichanga best, mimi kila siku nakuombea hilo ondoa hofuYa kwangu itakuwa kesho yake kesho yake ya kesho ujiandae kuniwish maana naona una maneno yenye baraka ndani yake[emoji7]
Amen.siwezi msuta mtoto aliyezaliwa leo jaman
mie naitwa mama Stun au mama KK
teh teh acha hizo
Sawa, mimi nimekuelewa.Kabla ya kunitibu jana, mlikuwa kwenye orodha ya wapendwa wangu ila sasa imekuwa kinyume chake[emoji3525]
siwezi msuta mtoto aliyezaliwa leo jaman
mie naitwa mama Stun au mama KK
teh teh acha hizo
Asante rafiki japo nimenuna wewe sio wa kuchelewa kiasi hiki kwenye bday yangu