Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
-
- #241
Hata mimi sijakuona mdogo wangu.Wifi Mimi sionekani jamani??
Ila bora haujaniona..hahahah.
Wifi I miss you too na ninakupenda sana.
Sina hata jipya Wifi nakusubiri uje umuone aunt ako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wejamaaa yan uliamuaNilikuambia usser hana zawadi zaidi ya makelele.
Umeamini?
Hukumbushwi ila cha motoSipendi kukumbushwa mambo mabaya.ila kwa kuwa ni wewe no worry
Visingizio eeWejamaaa yan uliamua
Kumwambia magu aninyime hata
Of ya lunch ili tu nikose kek
Ndo naachiliwa now kutoka
Asubuh hapana dawa yako
N lulu tu ndo ntamtafta akutengeneze
Co kwa kunionea huku
Triple A
Hicho ndo umeona tuVisingizio ee
Basi sawaaNgoja niitafute ile kamusi yangu ya kiswahili sanifu, angalau nipate maneno machache ya kusindikiza bembelezo badae.
Thank youuHappy birthday Maserati
Karibu sanaaaNaomba keki yangu....
Nilikumiss zaidi, vipi kamrembo kanaendeleaje jamanii.... Kape hi
Thank youuuHbd Maserati
Wow. Mama ya ukweli.
Muhenga mchepukiaji [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] thank you dear
Ipo kwa ajili yako jamaniiDhaaa!!! Magu leo kan
Kazia of mpaka uz umeshaisha cjui kama
Mmenibakishia kek
Inna,saint ivuga,maserat
Shunie,daby,dark angel
[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwacheni shemela wanguHukumbushwi ila cha moto
Utakipata tena
[Color= yellow]Triple A[/color]
Wowoooo!!! Hebu nlishe basIpo kwa ajili yako jamanii