[emoji134] [emoji134] Kweli ujue muhenga nililalaMuhenga nadhani atakuwa amelala [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ananilet down, naenda kumuamsha, huyu ndio ana ndoo ya maji.
Blaza tuko pamoja ...
mingapi?Hongera kwa kutimiza miaka kadhaa binti Maserati
We binadamu una roho ya kipekee Mungu akupe na ww Maisha marefu....hivi ulizaliwa lini?Inna alienda kununua cake, tena akasema cake ya chocolate ndio bomba, ila hajarudisha channge yangu ujue,, yani nikimkamata atanikoma leo. auugust yeye ndoo mbili za maii lazima
tangu lini mwanamke akaulizwa miaka? hawaulizwagi .. wao ki principle wanatakiwa wawe 18years old all the timemingapi?
namalizia kwa kusema Amen.Happy birthday maserati
Me na bby wangu Ivuga tunakutakia Maisha marefuuu
swalama lakini my inaWe binadamu una roho ya kipekee Mungu akupe na ww Maisha marefu....hivi ulizaliwa lini?
Hiiii hiiiii hiiiii...tangu lini mwanamke akaulizwa miaka? hawaulizwagi .. wao ki principle wanatakiwa wawe 18years old all the time