Happy birthday Matilda aka Wellu Sengo

Sa mbona mnamnanga hata hammuwish??!!


HBD WWellu,mi napenda rangi yake tu
Sijui miaka 5 ijayo km atakuwa hivi hivi
 
Hhhhaaaaaaa mpaka nimekohoaaa 😍😍😍
Ukweli huyu dada ni mzuri mim hua mgumu mno kusifia aisee nikisifia ujue ni kituuu

HUyo na mama ubaya nani mzuri? Halafu kuna kipindi walikuwa mashoga sijui ikawaje
 
Wadada fanya kupita ladytiger_fashions instagram na Facebook ujionee vya ukweli kuanzia beach, club, ofisini, casual hadi vya ukweni
Kaka wapendezeshe uwapendao... Umaridadi huficha umasikini njoo huku hutojutia... Ni dhambi mbaya kukosa kuvutia na suluhisho lipo
 
Daaaah! Huyo mtoto namuelewa sana aishi miaka buku kumi, kwa bongo movie hakuna kama yy
 
Hbd Welu uishi miaka mia moja...bata mzingaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…