Happy birthday maty

Japo babu mechelewa, Heriye kukutakia,
Mbaya bado haijawa, Shairi kukuimbia,
Ni sikuyo maridhawa, Mola amekujalia,
Hongera Maty hongera, Sikuyo ya kuzaliwa.

Umekuja duniani, Uzuri kuniletea,
Hakika u namba wani, furaha kunigaia,
Ubarikiwe nyumbani, Na kote wapopitia,
Hongera Maty hongera, Sikuyo ya kuzaliwa

Uishi daima dumu, Maisha yenye amani,
Maisha yaso magumu, Raha tele maishani,
Wema wako na udumu, furaha tele moyoni.
Babu nakukaribisha, Tunywe mvinyo pamoja.

Na Babu Asprin (Big Braza ODM)
Kaunta ya Juu King Star kwa Mwanandio
Boko Daslam.
CopyRight Reserved
 
Happy birthday, uishi maisha marefu hadi tukuanike.
 
Pole sana Maty kwa kuongeza Umri na kupunguza miaka ya kuishi Duniani:A S 13:
 
Hongera malenga wetu
 
Maty kapokee ulanzi wako na sumri ya saa tisa!!
BTW kale katukuu katakuja leo kwenye B'day?
 
Ahsante mtumishi wa Mungu....Aisee nakutafuta unipe upako ujue.
Where are you @?

Njoo kanisani upate upako mpendwa "Babu Loliondo",
Si unajua kwaresma inajongea, njoo uungame
 
Njoo kanisani upate upako mpendwa "Babu Loliondo",
Si unajua kwaresma inajongea, njoo uungame

Ahaa....kumbe kanisalo liko Loliondo?.....Naja mhashamu. Nije na nini?
 
Maty kapokee ulanzi wako na sumri ya saa tisa!!
BTW kale katukuu katakuja leo kwenye B'day?[/QUOTE]
Hommie taratibu niliishawekeza mbona unataka kuharibu shares zangu hapo
 
hahaha naona umehuziwa hisa Feki, mi nilibakisha 5% tu pale kwa ajili ya logistic tu..!
Mkuu usilete mikataba ya Dowanz hapa banaa hisa zangu mimi ziko listed tokea mtu yuko tumboni
 
hahaha naona umehuziwa hisa Feki, mi nilibakisha 5% tu pale kwa ajili ya logistic tu..!

Mkuu usilete mikataba ya Dowanz hapa banaa hisa zangu mimi ziko listed tokea mtu yuko tumboni

Jamani mkoloni kaniminya siku muhimu kama ya leo kimey katukuu ndi katakua kanasevu vinywaji nahofia finest anaweza badili badala ya yule amjuae akageuza kibao lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…