Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Hongera saana Max kwa Bwn Mungu kukufikisha hapo ulipo....
Happy birthday Maxe....
Ni siku njema kwako na kwetu....long live!
Heri ya kuzaliwa Max..
:music: Happy birthday to U
Happy Birthday Dear Max
Happy Birthday x 2, happy birthday to uuuu!!:clap2:
Asanteni sana!
Heshima mbele wakuu,
Napenda tuungane kwa pamoja kumpongeza mkuu Maxence kwa kufikisha siku hii
na kuongeza umri mwingine katika maisha yake,tumuombee heri, afya, njema, na
maisha marefu. Mungu ampe nguvu za kusonga mbele zaidi.
Heri ya kuzaliwa mkuu Maxence...........
hapo kwenye red,Rushwaaaaaaaaaaaa!!!!!Happy birthday mkuu....Mungu akuongezee uhai, upate kitukuu chenye umri kama wako ndo afikirie kukuhamishia mbinguni.
Naamini kwa wish hii sitatembezewa kichapo cha BAN asilani.
Miaka huja na kupita, na tunafanya mambo mengi sana, mabaya na mazuri pia, ila Mungu na akutunze wewe na uzao wako na kuimbuka tarehe 9 may kwamba alitoa mtoto wa faida kwa Jamii ya watanzania na wengineo pia baada ya wewe kuzaliwa nafurahia JF kwa maeneo mengi sana HAPPY BIRTHDAY BUDDY!
LIVE LONGER NA UFANIKIWE KAMA ROHO YAKO IFANIKIWAVYO