Happy birthday mdogo wangu

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
303
Reaction score
154
Mdogo wangu, ninakutakia furaha katika siku yako ya kuzaliwa.

Happy birthday to you...

Wanajf, dua zenu kwa mdogo wetu/dada yetu ni muhimu.

Na huu ndio urafiki na undugu [ATTACH
 
Anaitwa nani humu? Au hayupo humu.

Happy anniversary siz
 
happy birthday kwa dada yako... hawez kua dada yangu kwa uzur huo.
 
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa dada yetu,maana naona daby ameshatoa mahari baada ya muda atakuwa sio dada tena bali shemeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…