Huu ni uongo uliotukuka inaonekana huko kwenye part huwa mnaingizana chaka sana mtu akija anataja id nyingine tu.....Kwasababu tushawahi kuonana ktk moja ya party za JF.
Basi yule binti nikijua ID yake ya kweli humu ntamshitaki kwa mods apigwe ban.Huu ni uongo uliotukuka inaonekana huko kwenye part huwa mnaingizana chaka sana mtu akija anataja id nyingine tu.....
Sijawahi kuhudhuria part yoyote ya jf
Na mie anatakiwa anilipe kwa kutumia jina langu bila idhini, hajui haki zote zimehifadhiwaBasi yule binti nikijua ID yake ya kweli humu ntamshitaki kwa mods apigwe ban.
Mdogo wangu, ninakutakia furaha katika siku yako ya kuzaliwa.
Happy birthday to you...
Wanajf, dua zenu kwa mdogo wetu/dada yetu ni muhimu.
Na huu ndio urafiki na undugu View attachment 435805[ATTACH
Dah....unaomba namba hata chura hujamuona[emoji13] [emoji13] [emoji13]Happy birth day kwake
Naomba namba yake
me nakipaji cha kusoma sura anayo huyo!Dah....unaomba namba hata chura hujamuona[emoji13] [emoji13] [emoji13]