Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Guys
Am humbled nimeongeza digits za umri wangu muda mchache uliopita. Message ya "wife" ndo imenikumbusha kama leo ni birthday yangu.
Message imenipa faraja sana kutokana na ukweli kwamba napitia kipindi kigumu sana sasa hivi. Kumbe kuna mtu ananikumbuka na kujali maendeleo yangu.
Wakuu niombeeni sala na dua njema. Nawapenda wote