Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Una uhakika na hayo madola, acha majunguMimi namshangaa jamaa Licha ya kuwa dollar millionaire bado anakomaa tu uwaziri Na siasa nakupelekeshwa Na WASHAMBA. Ningekuwa yeye Sasa hivi ningekuwa natembeza myti borabora visiwa vya Polynesia
Huyu ni mwanasiasa sio celebrity. Ningeenda huko kama jukwaa hili halikuwapo.Jukwaa la celebrity linahusika! Sio hapa.
Lolote lawezekana ktk siasa.Hivi ana ndoto bado za kuwa rahisi na yeye? Nasubiri
Sijipendekezi nimeleta habari kama habari nyingine ziletwazo. Mwisho nikamwombea heri.Acha kujipendekeza kwa hawa watu mkuu.
Sijipendekezi nimeleta habari kama habari nyingine ziletwazo. Mwisho nikamwombea heri.
Anajikomba kwa BASHITEMimi namshangaa jamaa Licha ya kuwa dollar millionaire bado anakomaa tu uwaziri Na siasa nakupelekeshwa Na WASHAMBA. Ningekuwa yeye Sasa hivi ningekuwa natembeza myti borabora visiwa vya Polynesia
Tulia weweeUna uhakika na hayo madola, acha majungu
Watanzania tunachonga sana ujue. Juzi wamepeleka fomu zao za tamko la rasilimali na madeni kwenye tume ya maadili. Kwani usiende kule kulalamika wakati gharama ya kuna fomu ya kiongozi ni sh Elfu moja tu?Tulia wewee
heyyyyy naona unaingiza Giza kwenye mwanga wanguWatanzania tunachonga sana ujue. Juzi wamepeleka fomu zao za tamko la rasilimali na madeni kwenye tume ya maadili. Kwani usiende kule kulalamika wakati gharama ya kuna fomu ya kiongozi ni sh Elfu moja tu?
No comment hawez kujikomba..hana sababuAnajikomba kwa BASHITE
Unaweza kunikumbusha Trump alichowaambia miafrika?Mimi namshangaa jamaa Licha ya kuwa dollar millionaire bado anakomaa tu uwaziri Na siasa nakupelekeshwa Na WASHAMBA. Ningekuwa yeye Sasa hivi ningekuwa natembeza myti borabora visiwa vya Polynesia
SijakuelewaHAFAI.