Happy birthday mjomba....

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
985


leo ndo happy birthday ya mjomba...alizaliwa 27/10/1978

hivyo anatimiza miaka 39.

hebu tupia mstari wake mmoja wa kwenye mashairi yake unaokukosha/unaoukubali sana....

'Usitafute njaa ya kumla samaki ambaye bado hajavuliwa toka mtoni'.
 
Kwa jinsi ulivyommwaagia misifa..... Lazima atakuwa hapo kisogoni kwako.
Mdogo wangu acha maneno ya kishoga, pia jifunze kwa waliofanikiwa.
Mrisho mpoto ameshapiga hatua katika kujikwamua kimaisha halafu wewe unajifanya kumbeza kwa itikadi za chama....hata kama una mahaba sio kiivo Mangi....badilika jombaaa

Halafu mie sio level zako chalii
 
Level tena??? We Unadhani kwa mafanikio aliyonayo, angekuwa sio CCM angekuwa na muonekano huo??? Na hizo level unazotishia nazo watu zinatoka wapi msimu huu mbona hakuna mambo hizo tena?? Na Sijui kipimo ipi umetumia kuniita mdogo wako na kujiita mtu wa level?? Hebu weka si unit hapa tuone nan dogooooo

Sanasana utanizidi muonekano kwa sababu wewe ni fisiem.
 
kwa hiyo kuwa ChaGGadema ndo busara
 
kwa unavyoandika you are on the same level!
 
Magauni yanamfanya aonekane bibi wa miaka 65.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…