utakalia majungu mwenzio keshaga pata exposure, usikute hata bando umeomba kwa shemeji ako. Hela aliyo nayo anauwezo wa kuwalisheni BAvicha na Bawacha kambi nzima mwaka mzima.
Nipo best, habari za siku
Humu siku naingia na kuchungulia tu then unasepa manake mmh, unaweza kufuatiliwa na nissan nyeupe wakati mtu umejisemea tu, labda jukwaa hili na kule MMU ndio unaweza kuchangia bila uoga